Always God๐
LOVING WHAT I DO๐น๐ฟ๐น๐ฟ
chairman SEC 2024
CHAIRMAN BUNGE AC๐
MEMBER OF PARLIAMENT
Dreaming to the world
Tanzania kwanza๐น๐ฟ
MG๐
DEPUTY MINISTER
Nimeshiriki kikao cha Baraza la Madiwani Cha Chama @ccm_tanzania kuchagua diwani atakayegombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa @ChalinzeCouncil kilichofanyika Chalinze ,mapema leo.#KaziInaendelea
MWAKA MWINGINE 2025๐ด๐น๐ฟ...
Nawatakia Kheri Na mafaniko Tele Ndani ya mwaka huu 2025 Wewe Binafsi ukawe wa Juhudi,Kumuomba Mungu na Kuendeleza Mapambano ya Kuuacha Umaskini na Kuongeza Maarifa Na Thamani
Tuseme AMEEN๐
Siku zote ISHI UKIJUA YA KWAMBA mtu yeyote anaweza kubadilika ,haijalishi HISTORIA MLIYONAYO,WAPI MMETOKA ,MANGAPI MMEYAFANYA au NI NANI WAKO โ
Kikubwa Muombe Mungu Fungua Moyo usiishi na Kinyongo CHAPA KAZI SONGA MBELE ,,Mungu Ana kusudi kubwa NAWEWE!
Uchaguzi ni nyenzo muhimu sana katika maendeleo ya taasisi yoyote Na siku zote Haki huinua Taifa kila la kheri @TanganyikaLaw Katika Mkutano Mkuu Hapo kesho
Siku ya ushindi wako watakuja kukupongeza,lakini wakiwa na lengo la kutaka kujua ,ULIWEZAJE KUSHINDA BILA WAO MAANA WALIKUACHA ILI USHINDWE
#kijanawaMungu#Munguwetusote๐
Siku ya ushindi wako watakuja kukupongeza,lakini wakiwa na lengo la kutaka kujua ,ULIWEZAJE KUSHINDA BILA WAO MAANA WALIKUACHA ILI USHINDWE
#kijanawaMungu#Munguwetusote๐
@HildaNewton21@jokateM Nchi hii hakuna chawa then jiheshimu dada na pia @jokateM sio balozi wa milembe kuwe na mipaka usivunje integrity ya mtu lete hoja mezani sasa chadema mna viongozi wa namna gani kama bavicha ninyi ndo hivi ๐๐๐๐๐
@HildaNewton21@jokateM Yaliyofanyika Korea Kusini. 1-mkataba wa mkopo wa riba nafuu USD 2.5B. 2-Memorandum of understanding -MOU mbili za ushirikiano katika sekta za uchumi wa bluu na madini ya kimkakati. 3-kusainiwa tamko la utayari wa kuanza majadiliano ya ushirikiano wa kiuchumi.

Ukosoaji unaweza kukusaidia kuona unapofeli na madhaifu kwa hiyo usichukie bali utumie kama njia ya kujijenga ili uwe bora zaidi katika kile unachokifanya.USIUKWEPE UKOSOAJI!