Wakenya wanajua rais ni mtumishi wa umma sio Mfalme wala Mtume..
Wakenya wana katiba na sheria bora na wanaziheshimu, wanajua kukosoa serikali au kumkosoa rais sio kosa na sio kosa la kufanya utekwe , kuuwawa au kupotezwa.
Kama kiongozi anasema wazi kwamba kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!!! Vipi mama kijijini ambae yeye hana kamba wala urefu wa kula?
Watanzania tusikubali.
Pumzika kwa amani James Robert Temba.
Mwanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), James Robert Temba (24), anatekwa, anapatikana baada ya siku kadhaa akiwa amekatwa kichwa, kiwiliwili/mwili wake unaelea Mto Msimbazi, Kipawa, Dar es Salaam.
Uongozi wa Institute of Finance Management (IFM) na Serikali ya Wanafunzi (IFMSO) kimya. Hakuna tamko la kulaani au kutoa pole. Uongozi wa chuo na Uongozi wa Wanafunzi kimya kama hakuna kitu kilichotokea.
Hakuna tamko kutoka Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (TAHLISO). Hakuna kauli ya kuwahakikishia usalama wanafunzi au kutaka uwajibikaji kutoka Wizara ya Elimu. Nchi yetu imeanguka vibaya katika shimo refu sana.
Ukimya huu ni kielelezo ukatili na uhalifu unachukuliwa kama jambo la kawaida, na kukemea maovu ni kitendo hatari. Hii ni athari ya taasisi muhimu kufanywa kuwa matawi ya CCM. Hata taasisi za elimu zimepooza.
James Temba alikuwa mwanachama wa CCM. UVCCM wenzake wameshindwa kuona sababu za kutoa TAMKO kulaani na kutaka uchunguzi wa haraka wa mauaji ya mwanachama mwenzao? Taasisi takamwili hizi.
Pongezi CHADEMA STUDENTS ORGANIZATION (CHASO), mkoa wa Dar es Salaam kwa kuchukua wajibu rasmi wa kumkumbuka mwanafunzi mwenzenu wa elimu ya juu kutoka Institute of Finance Management (IFM).
Mazishi ya James Temba ni kesho 07/05/25, Old Moshi, Kilimanjaro. Leo 06/05/25 mwili utawasili nyumbani baadae kutakuwa na ibada, KKKT – Usharika wa Tabata kabla ya kuanza safari kuelekea Kilimanjaro.
Poleni sana familia ya James Robert Temba (2002 – 2026).
Technically hii ni formula ya kutaka kuwasafisha wauaji kuwa hawakuwa na intention ya kuua!!
So report iseme number kubwa ya maiti ilipigwa risasi za miguuni na mikononi tu…..ili wajustify kuwa wauaji walikuwa na intention ya kuwajeruhi tu waandamanaji na sio kuwaua!!
Then maiti chache ndio waseme zilipigwa risasi za kifuani na tumboni!!
Yani zile picha na video tulizoziona za zile maiti nyingi zilivyoharibika kichwai….Leo unasema ni maiti 12 tu ndio zina majeraha kichwani!!
12😳😳😳😳 Hell No!!
@IAMartin_ I'm very sorry kwa kanisa katoliki la mitume, nilihamia Sabato nikiamin huku ndo kuna hiphop, all over the suddenly since last year nimejua exactly wapi mtu mwenye akili timamu anatakiwa kuabudu.!
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏