@SuluhuSamia Je vyuo vyetu haina hadhi yakutoa watu wenye sifa? Spitali zetu hazina hadhi ya kua na interns?
Au lengo nikupata hizo laki mbili mbili za watahiniwa?
Au lengo nikupunguza wasomi wa kada hizi za afya?
@SuluhuSamia wakihudumia watu wetu chini ya uangalizi na muongozo ambao wizara ya afya na hufanyia mitihani ya compitence assessment, na log Book zao husainiwa na wakuu wa idara husika.
Ela chakushangaza nikua mtu hapewi leseni mpaka ufanye mtihani wa bodi kwa nn?
@SuluhuSamia Muheshimiwa raisi bado kunaukandamizaji kwa baadhi ya secta hasa za afya kwa vijana chipukizi, watu wanaosoma kozi za afya katika vyuo vya ndani au nje ya nchi wanaosoma kwa shida na panda shuka nyingi na wanapomaliza masomo hufanya internship mwaka mzima wakihudumia watu wetu
@SuluhuSamia Muheshimiwa raisi nakupongeza sanaa kwa ufanisi wako wakazi na uwajibikaji wako katika kila secta inayogusa maisha yetu asante. Mola akupe nguvu na akuzidishie afya njema zaidi uweze kuendelea kuwatumikia watu kwa moyo safi. Malipo yako akuingize katika pepo yake bila hesabu.