Kwani Dada @MwasitiJ kama umegoma kuimba tena sisi Vijana wa 2000 tukufungulie kesi ata ya robbery, haiwezekani tukose raha ya mziki mzuri wakati wew upo ���
Kwani Dada @MwasitiJ kama umegoma kuimba tena sisi Vijana wa 2000 tukufungulie kesi ata ya robbery, haiwezekani tukose raha ya mziki mzuri wakati wew upo 🙌
Wimbo wa siku - this will always be a master piece Mdogo wangu @MwasitiJ
Sijui urudie tena- siku hizi tuna masikio bora zaidi kuliko wakati ulipoitoa hii Ngoma. ✨
Mwasiti- Nalivua Pendo (Official Video) https://t.co/wt6eRkaTFg via @YouTube