@ChrisloveSoals@Mwasakujonga@KenyanSays wakenye hiyo mentality ya conversion ndo huwa mnaitumia ila most of kenyans ni very poor. 1 ksh = 1.12 yen so mnalingana uchumi na Japan? kingine english is not the measure of inteligecy even wakenya wengi the cant speak kiswahili fluently dont they lean swahili in school?
@JamesPJima2@HildaNewton21 yan morocco inafanana na spain hizo data umetoa wap moroco ni kati ya nchi maskin sana wana Gdp ya around 140 usd bilion huku spain ina tirion hii si aridh na mbingu
@raiswakariakoo @Cyancuty sasa waindi si maskini tu ata sisi tunaafadhal yan unakaa india na unajisifu? unakuja kutudanganya na Suzuki wanatengeneza india? nende nchi zilizoendelea kama utazikuta unatuletea nchi maskin alafu iko overpopulated