Gachagua: Four years ago, this government promised the people of Kenya dams and water. All we see is our president visiting other countries like Ethiopia to witness the launching of theirs. Where are these dams in four years?
President William Ruto has told leaders of the broad-based government that winning the 2027 General Election is their only option, as UDA and ODM move closer to formalising their political partnership ahead of the polls. https://t.co/I01akh0Jrb
Msururu Wa Raga Ya Wachezaji
Raundi ya Kabeberi ya msururu wa raga ya wachezaji saba kila upande itafanyika mwezi huu tarehe 15 na 16.
#NTVSpoti@bugufatuma
Ukuzaji Wa Wanasoka Mashinani
Valentine FC iliibuka mshindi wa kipute cha kukuza talanta katika wadi ya Cianda iliyoko eneo bunge la Kiamba.
#NTVSpoti@bugufatuma
Mafunzo Ya Makocha Wa Uogeleaji
Makocha wa uogeleaji zaidi ya 100 wameanza mafunzo ya takriban wiki nzima katika shule ya Porterhouse hapa jijini Nairobi.
#NTVSpoti@bugufatuma
Gofu Ya Chipukizi Ya Matchplay
Mwathi Gicheru aliibuka kidedea katika siku ya kwanza ya mashindano ya gofu ya chipukizi ya Matchplay yanayofanyika uwanjani Sigona.
#NTVSpoti@bugufatuma
Mawakala Wanaowalaghai Wakenya
Serikali imehimizwa kuchukua hatua kali dhidi ya mawakala wanaowalaghai Wakenya kwa ahadi za ajira nje ya nchi, huku visa vya utapeli vikiongezeka na kuwaathiri vijana wanaotafuta ujuzi katika vyuo vya TVET.
#NTVAdhuhuri@bugufatuma