Nyota tano za interact🔥🔥
Lolilo Simba&Ali Kiba- Magic Mirror💯
Alphajiri ft. Adasa- Kiu
Brian Weiyz& Nina Roz- Bimbo
Binara & G nako- Mchokozi
Jua Kali, Femi one,-Kenya one Tribe
#Interact#UrbanSpice
Interact na Robaa Mtoto wa nyumbani🔥 kwa burudani muziki wa kisasa wa Africa Mashariki na yanayojiri katika field ya entertainment exclusively kwenye kitengo spesheli cha Urban Spice💯🔥🔥
Less Talk More music💯
Lets talk more about music💯
#Interact#UrbanSpice
104.5 104.9
Asilimia 12 pekee ya wakenya imechanjwa Dhidi ya Covid 19 kufikia sasa huku viwango vya maambukizi vikiongezeka baada ya kuibuka aina mpya ya virusi vya Coronavirus hivo kuliweka taifa katika hali ya hatari.
Viongozi kutoka Kaunti ya Trans Nzoia wameendelea kupigia upato matumizi ya mfumo mpya wa utoaji Risiti kwa Mahindi huku wakisema kwamba hatua hiyo itapunguza kuwepo kwa hasara
Maadhimisho ya siku ya Jamhuri ya 58 tangu kenya kupata uhuru yalishuhudia hafla muhimu iliyoandaliwa na kikosi cha Kenya Rifle kinachojulikana zaidi kwa jina la Ash Warriors cha Kenya Defence Forces ambapo Kilipata Bendera ya kukifanya kuwa kikosi chenye mamlaka kamili cha KDF.
Tune in kwa Interact na Mtoto wa Nyumbani Roba💯💯 upate burudaanii🔥🔥 Muziki wa kisasa wa East Africa na yanayojiri katika field ya entertainment
Less talk more Music🎶💯
104.5. 104.9
Kampuni ya Safaricom kusambaza pesa za serikali chenye kima cha shillingi billioni moja kwa kaunti zinazokumbwa na ukame bila kutoza ada ya muamala ,transaction fee,kupitia huduma ya Mpesa.
@Safaricom_Care#AzimioLaUmoja
Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza watakaohudhuria mkutano wa Azimio la umoja Jalas @Langata01 ,Exray,Trio Mio @TriomioOfficial na Embarambamba
#AzimioLaUmoja
Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza watakaohudhuria mkutano wa Azimio la umoja Jalas @Langata01 ,Exray,Trio Mio @TriomioOfficial na Embarambamba
#AzimioLaUmoja
Mkutano wa Azimio la umoja unatarajiwa kuanza rasmi wakati wowote kutoka sasa katika uga wa kasarani. Raila Odinga anatarajiwa kutangaza msimamo wake wa kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu 2022
#AzimioLaUmoja#Kumekucha
Mkutano wa Azimio la umoja unatarajiwa kuanza rasmi wakati wowote kutoka sasa katika uga wa kasarani. Raila Odinga anatarajiwa kutangaza msimamo wake wa kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu 2022
#AzimioLaUmoja#Kumekucha