@azamtvtz Yaaan maisha magumu mpaka unasema labda ubadirishe profile pic labda maisha yatakuwa angalau kidogo..unabadli profile pic lakini wapi ni afadhari ya Jana π
@rollymsouth Alie niamusha kwenye daladala na akanidai nauli wakati sio kondacta imeniuma zaidi aiseee. Nasema tutonana tuuu hi dar ni ndogo Sana kwanguπππ