“Tanzania ilikuwepo kabla ya Mheshimiwa Magufuli (Rais) na itakuwepo baada yake. Tanzania si mali ya mtu awaye yeyote bali ni mali ya Mungu muumbaji wa mbingu na nchi.” - Askofu Stephen Munga. Soma zaidi >https://t.co/hYeQozycQA
RAIS analalamika (watendaji hawamuelewi)
IGP analalamika (kuna unafiki jeshi la polisi)
Waziri mkuu analalamika (kuna ufisadi halmashauri)
Jaji Mkuu analalamika (watuhumiwa kukaa mahabusu)
Spika, mawaziri, wabunge wanalalamika!
Sisi WANANCHI tunapaswa kufanya nini haswa?