Katika Kukabiliana n Mabadiliko ya Tabia Nchi,Shirika MSOAPO limeweza kuendesha mafunzo kwa Vijana wa kata y Dihimba juu y namna ya kutengeneza Majiko Banifu yenye lengo la kukabiliana n Mabadiliko y Tabia Nchi n ni sehemu kujiongezea kipato. Majiko Banifu yanatumia kuni Chache.
Leo tarehe 25.11.2022 ni siku ya kilele cha siku kumi na sita za Kupinga Ukatili wa Kijinsia,kauli mbiu ya mwaka huu inasema “Kila Uhai Una Thamani “Tokomeza Mauaji na Ukatili wa Kijinsia Dhidi ya Wanawake na Watoto
Afisa mradi wa kujenga uchumi na jinsia kutoka shirika la # Msoapo nd.Jamila Hakika akiwa ameambatana na viongozi kutoka #SwissAid wakiwa wametembelea kikundi cha Naonyo ,kinachojishugulisha na kilimo cha bustani ya mboga mboga na matunda yakiwemo mapapai.
@SWISSAID_Tz
Viongozi #Msoapo na @SWISSAID_Tz tumeambatana tukiwa tumetembelea #kikundi cha kilimo cha bustani ya mboga mboga na matunda kinachosimamiwa na #Msoapo chini ya ufadhiri wa shirika la @swissaidtanzania ,kilichopo #Kijiji cha #Manamawa kata ya #Dihimba#Mtwara Vijijini .
Kijana Kwanza!
Wafanyakazi wa MSOAPO wakiwa kwenye kikao kazi cha kujengeana Uwezo kwenye Mradi wa #KijanaKWANZA ambao tunashirikiana na IRC, Mradi unatarajiwa kutekelezwa kwenye wilaya za Mtwara, Tandahimba & Masasi.
#TokomezaUmasikiniMtwara
#TBT
Ktk kuhimarisha Uchumi tunashirikiana n Wadau mbalimbali zinazowakibili Jamii, hasa Wanawake tumekuwa tukishirikiana n Wadau mbalimbali wa Nje n Ndani 🇹🇿 .
Pic Mkurugenzi w DHL-Tz akiongea n wakulima w Mwani alipowatembelea shambani kwa lengo kujadili n kutatua Changamoto.
Afisa mradi wa kujenga uchumi na jinsia kutoka #Msoapo upande wa kushoto ni ndg Jamila Hakika,akigawa vifaa mbali mbali vya kutendea kazi kwa vikundi (15) vya wakulima wa mboga mboga, ufugaji na makundi mengine ktk Vijiji vya #Moma,#Lukweta n.k.
@SWISSAID_Tz
Mradi wa kujenga uchumi na jinsia ambao unafadhiliwa na Swissaid kwa kushirikiana na Msoapo tumeweza kugawa vifaa mbali mbali vya kutendea kazi kwa vikundi(15) vya wakulima wa mboga mboga, ufugaji na makundi mengine ktk Kijiji cha Moma,Lukweta,Minyembe,Madimba.
@SWISSAID_Tz
Tumetembelewa na ugeni wa viongozi kutoka shirika la SwissAid kwa lengo la kuja kumtambulisha na kumkaribisha Mkurugenzi mpya wa SwissAid ndg Betty Malaki Mkurugenzi wa SwissAid na kumuaga Mkurugenzi wa zamani ndg Blaise Burnier .
@SWISSAID_Tz#TokomezaUmasikiniMtwara
Mratibu wa Mkoa wa Mtwara Mradi wa #SautiMpya Ms.Amandarenea Nemes wakati akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa #Msoapo ndg Hassani Charle cheti maalumu cha kutambua mchango wa taasisi yetu kwenye kufanikisha utekelezaji wa mradi kwa miaka 2. Mradi ulitekelezwa na @WeWorldGlobal.
Ziara ya Meneja wa Programu wa SAUTI MPYA alipotembelea Ofisi za #Msoapo Mjini Mtwara na baadae kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wetu, pamoja na mambo mengine, we world walipongeza ushiriki na mchango wetu kwenye mradi wa miaka 2 wa SAUTI MPYA.
@sautimpya