@Mshonaviatu@cleansheet_1 ๐๐๐๐๐mbona unatoa siri za sasa na mimi nimesema mali...sijasema ni bodaboda,dalala au nyumba ๐๐๐๐๐
@Mshonaviatu Fimbo ya mbali haiui nyoka....Yupo mbali kimwili ngumu kuwa na nguvu,ndo maana hawa majanja wakati wa kujitafuta walitoka zambia na mwanza kuja Dar ili wawe na ukaribu wa kimwili