Katika dunia inayojaribu kukubadilisha, daima kumbuka kudumisha upekee wako, kwani huo ndio utakupa ushindi. Kuwa tofauti na wengine ni moja ya mafanikio makubwa zaidi maishani.
king faby.
@tanpol Unataka nn kilisababisha kifo cha mtuhumiwa wakati alipingwa na wananchi police jamani mna mambo nyie watumishi wetu bhnaa nyie mna vichekesho sana๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kila mtu ukimuliza atakwambia Mungu ndie kila kitu kwake lkn ukimfatilia Hana mausiano na Mungu.
(Ndo wale Wana wa Mungu na watu wa Mungu wanapotambulika).๐ฆ ๐
God's sons and God's people are two different things.
#faby
Usijisikie vibaya ikiwa watu wanakukumbuka wakati tu wanakuhitaji.
jisikie kuwa umebahatika kuwa kama mshumaa unaokuja akilini mwao kunapokuwa na giza au umeme unapo katika wewe niwathamani.
#faby
ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ๐๐๐
Usimwamini binadamu Wala kumtegemea utafaliki bila kuijua hatima ya maisha yako.
Amini Mungu ambae anaonekana kwa matendo kwenye maisha yako bila kusita sita.
#faby
Ukiwa wa Ki Roho Sana halafu hauna fundisho sahihi nihatari Sana. ๐ฅด๐ฅด
Utakanyaga mafuta.
Utakunyweshwa mafuta.
Utaamini maji kumliko Yesu.
Utaamini kila ndoto unayo ota umetoka kwa Mungu.
Utaambiwa pokea aliyakuwa unadhambi lukuki
#faby
Ukweli ukisemwa huwa unatengeneza Vita Sana lkn uongo ukisemwa unastiliwa sana na wala haufatiliwi kabisa.
Itafute kweli ya Mungu hayo mengine utayapata ndani ya kweli ya neno la Mungu.
#faby