Siku zinapita yoyoyo... 4days to go! #MachokaAt50
๐๏ธ Buy your ticket now https://t.co/QEkmE8TJ6x or dial *487*27# na uungane na wengine wengi kusherehekea miaka 50 ya utangazaji wa the blackest man in Africa the Retired G @fredomachoka
๐ Ulinzi Grounds, Nairobi
๐ Saturday, 10th October 2026
#MachokaAt50
#RadioNumberOne
Equity wanaland UK!
Kutana na timu ya Equity nchini UK kuanzia tarehe 24 Septemba hadi 7 Oktoba katika Holiday Inn Reading-South M4, Jct. 11, Basingstoke Road, Reading RG2 0S.
Equity iko ground. Karibu Member!
#EquityDiaspora@KeEquityBank
Udhibiti wa vileo na dawa za kulevya. Ndio mjadala wa #JamboKenya hii leo.
Ni vipi tunaweza kudhibiti utumiaji wa vileo na dawa za kulevya humu nchini?
Pata mazungumzo haya kwa kina kutoka kwa wataalamu wetu.
#JamboKenya na @Murutuphilip na @VincentAteya#RadioNumberOne
Ukristo wa kweli una gharimu. Je uko tayari kulipa gharama?
Ni wakati wa neno kutoka kwa Wanamatengenezo ndani ya #Pambazuka na Sally Mbeyu
#RadioNumberOne.
Mashimo barabarani, barabara mbovu na mvua kubwa vinaweza kuathiri gari lako zaidi ya unavyotarajia.
Sump Guard huongeza ulinzi kwa engine na sehemu ya chini ya gari lako, hivyo kukusaidia kuepuka gharama kubwa za matengenezo na kulifanya gari lako lidumu kwa muda mrefu zaidi.
Pata punguzo la 10% kwa usakinishaji unapolipa kwa kutumia Kadi yako ya Equity!
Ofa ni halali kuanzia tarehe 15 Septemba hadi 31 Desemba 2026.
Sheria na masharti kutumika.
#EquityCards
@KeEquityBank
PS Omollo: Serikali imeimarisha operesheni dhidi ya magenge ya wahalifu na makundi yanayohusishwa na ghasia, vitisho na unyangโanyi kuelekea uchaguzi wa 2027. Magenge na makundi 109 ya uhalifu yametambuliwa nchini, kutoka 89 yaliyotangazwa kuwa haramu mwaka 2016,
#RadioCitizen
Mume wa marehemu Dkt. Victoria Mutiso, David Ndetei, amepinga dhamana kwa washukiwa watano wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji ya mke wake, akisema kuachiliwa kwao kunaweza kuhatarisha usalama wake, familia na mashahidi.
#RadioNumberOne
PS Omollo: Vijana wanaotumika katika ghasia za kisiasa huvutwa kwa ahadi za pesa za haraka, kulazimishwa au kutumiwa na wafadhili wa ghasia. Serikali itaunganisha operesheni za kiusalama na mipango ya kuwasaidia vijana kujinasua kutoka kwa magenge
#RadioCitizen
ghasia kati ya Januari na Agosti 2026, huku Trans Nzoia ikiongoza kwa washukiwa 491. Watu 729 walipatikana na hatia, asilimia 36.5 ya hukumu zikitoka Rift Valley, huku kesi nyingine 716 zikiendelea mahakamani.
#RadioNumberOne
Mahakama kuu ya Nairobi imeidhinisha kuwa ya dharura kesi inayolenga serikali kutoa maelezo kuhusu mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote unaopendekezwa kujengwa Lamu.
#RadioNumberOne
Kenya ni watu wa dakika za mwisho mwisho.Spain sio Vihiga au Kirinyaga๐ Tunahitaji kujiandaa mapema, mambo kama haya yanakatisha tamaa.#Kijiweni#RadioNumberOne#WaksTikiTaka