@TanzaniaLeaks Yani umeshasema kabisa zinaenda kutumika kuhonga viongozi wa Marekani halafu unatutaka tena tufuatilie hela zinaenda wapi????
Acheni ujinga muda mwingine
@Tinahcristiaan@joshuamsuyatz Kuna percentage ipi kwa waliopoteza usichana wao kwa mazoez makali na kuendesha Baiskeli vs Kujamiiana? Zinapojengwa hoja huwa zinachukuliwa sababu zenye uzito zaidi sio minor
@Feudal70@amina_hafidh Hujui kama form 3 watu hugawanywa kweny kombi? Au ukisikia masomo ya sayansi, Biashara, na sanaa unaitaga vipi kwa kilugha chenu
Natamani niwe na foundation ya kuwasaidia wagonjwa waliotelekezwa mahospitalini
Msaada wa vyakula,mavazi,dawa na Msaada wa kimatibabu
Sijui naanzishaje,sijui naifanyaje ๐
But natamani sana kuona mgonjwa akipata faraja kama wengine