NTSA imefafanua kuwa maafisa wa trafiki hawatatekeleza sharti la ukaguzi wa lazima kwa wamiliki wa magari binafsi. Aidha, ukaguzi wa magari binafsi umesitishwa kwa muda hadi vituo binafsi vya ukaguzi vitakapopewa leseni na kuanza rasmi kutoa huduma.
#RadioNumberOne
Mwanaharakati aliyekuwa ametoweka, Davis Lichuma, amepatikana akiwa ametelekezwa nje ya Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH). Akishukiwa amepuliziwa dawa.Baadaye, amehamishWA katika Hospitali ya Nairobi Women's kwa matibabu zaidi
#RadioNumberOne
Magavana wanatumia mamilioni kwa safari za ndani (domestic travels)π€¦ββοΈ anayeongoza ni Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja.
#Magazetini#JamboKenya#RadioNumberOne
Na huu ndio ujasiri tulionao, kwamba tukiomba lolote kwa jina lake anasikia π
Happy New Week π₯³. Karibu ndani ya ibada #Pambazuka na Sally Mbeyu
#RadioNumberOne
Ni wakati wa neno.
Wanamatengenezo wako tayari kutupa mafunzo ya uamsho na matengenezo. Uko tayari kwa mafunzo?
Kaa mkao wa kupokea ndani ya #PGC na Sally Mbeyu
#RadioNumberOne