Leo Mei 22, 2025 Kardinali Protase Rugambwa amefanya mahojiano maalum na Radio Maria Tanzania kuhusu uchaguzi wa Papa mpya na alivyopokea taarifa za Kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Hayati Papa Francisko.
#Mariathon2025
PAPA LEO XIV NA MWADHAMA PROTASE KARDINALI RUGAMBWA
- Picha ni Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora akimsalimu Baba Mtakatifu Leo XIV mara baada ya Mkutano wa Makardinali na Papa uliofanyika Jumamosi ya Mei 10, 2025 huko Vatican.
MAHOJIANO MAALUM YA KWANZA NA MWADHAMA PROTASE KARDINALI RUGAMBWA - BAADA YA UCHAGUZI WA PAPA MPYA LEO XIV NA KIFO CHA HAYATI PAPA FRANCISCO
Kutazama mahojiano haya tafadhali bofya hapa chini katika kiunga hiki ๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป
https://t.co/hK95h8MqQL
.
SAFARI YA WITO S04EP01 | SISTA HERMANA SHIO CDNK | MTAWA WA JUBILEI YA MIAKA 25 MWAKA 2024
Karibu katika msimu mpya wa Nne wa kipindi cha SAFARI YA WITO aliyetufungulia pazia la msimu mpya si mwingine SISTA HERMANA SHIO CDNK - Mtawa wa Shirika la Bibi yetu wa Kilimanjaro.
Ee Mungu Baba tunakuja tena mbele yako kuomba ulinzi wako usiku huu, utulinde na maadui zetu, Damu ya Yesu Kristo Bwana wetu iliyomwagika pale Msalabani itufunike. Pia tunawaombea Marehemu wetu wote pumziko la Milele. Tunaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Amina
MAOMBI YA USIKU
Ee Baba, Mikononi mwako naiweka Roho yangu.
Tunakushuru Mungu kwa mapaji yote uliyotujalia leo. Ee Mungu wa majeshi Tunakushuru kwa wema wako umetulinda mchana kutwa mpaka kufikia sasa tunasema Asante sana.
Kardinali Reina, ambaye pia ni Makamu wa Baba Mtakatifu Jimbo Kuu Katoliki Roma, hadi wakati wa uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Chuo cha Kipapa Laterano, nafasi ambayo anaendelea kuishikilia hivi sasa.
.
.
.
https://t.co/GzRWYBFmof
#RadiomariaTz
BABA MTAKATIFU LEO XIV AMEMTEUA KARDINALI BALDASSARE REINA KUWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA KIPAPA CHA JOHN PAULO II
Leo Mei 19, 2025 Baba Mtakatifu Leo XIV, amemteua Mwadhama Baldassare Kardinali Reina, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kipapa cha John Paulo II.
tuungane kama familia moja."Ni maneno ya utangulizi wa mahubiri ya Papa Leo XIV wakati wa Misa Takatifu iliyofanyika katika Uwanja wa Mtakatifu Petro,Dominika tarehe 18 Mei 2025. . . https://t.co/GzRWYBFmof #radiomariatz
"NIMECHAGULIWA BILA MASTAHILI YOYOTE" ~ PAPA LEO XIV "Nimechaguliwa bila mastahili yoyote na kwa woga na kutetemeka,ninakuja kwenu kama ndugu ambaye anataka kuwa mtumishi wa imani yenu na furaha yenu,nikitembea nanyi katika njia ya upendo wa Mungu ambaye anataka sisi sote
PICHA RASMI BABA MTAKATIFU LEO XIV
- Vatican imetoa picha rasmi ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Leo XIV.
Mei 08, 2025 Makardinali 133 wa Kanisa Katoliki walimchagua Kardinali Robert Prevost kuwa Khalifa mpya wa 267 wa Mtakatifu Petro.
KWANINI MWENYEZI MUNGU ALIWAUMBA BINADAMU WADHAIFU NA MALAIKA WAKAMILIFU?
- Swali la Msikilizaji wetu linalojibiwa na Shemasi Cassian Lebba wa Jimbo Katoliki Sumbawanga ambaye kwa sasa yuko masomoni katika Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea.
"PAPA LEO XIV AGOSTI 2003 AKIWA PADRE, ALIKUJA TANZANIA ALIENDESHA GARI KUTOKA SONGEA MPAKA MOROGORO"
- Mahojiano maalum na Mhashamu Stephano Lameck Musomba OSA, Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo, kuhusiana na Papa Mpya Leo XIV.
NENO LA BARAKA KWA BABA MTAKATIFU MPYA LEO XIV
- Mpendwa karibu umtakie neno la Baraka na matashi mema Kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Leo XIV ambaye leo amechaguliwa kuwa Khalifa mpya wa Mtakatifu Petro.
Papa Mpya ametangazwa ni Kardinali Robert Francis Prevost na amechagua jina la Papa Leo XIV.
Asante Mungu kwa zawadi ya Kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki.
.
.
https://t.co/GzRWYBFmof
#Mahujajikatikamatumaini