Najivunia sana na nina furaha kubwa kuwa AC Milan. Nimekuja hapa kushinda mataji, na nataka niseme hilo kwa uwazi kabisa.
"Tayari nimeupenda sana uwanja huu wa mazoezi. Mahali hapa pana hisia za kipekee. Nahisi niko nyumbani."
- Ruben Amorim
#KBCRadioTaifa ^FN
Rais wa Marekani Donald Trump amesema makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran “yamefutuliwa mbali”, baada ya nchi hizo mbili kushambuliana.
#KBCRadioTaifa ^FN
SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
PICHA : Msemaji wa Serikali Isaac Mwaura amewasili shule ya Upili ya Kenya High kuadhimisha siku hii pamoja nasi.
#KBCRadioTaifa ^FN
🚨 KUELEKEA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
Siku ya kesho tutawakutanisha Wanafunzi na watafiti wa Lugha, Wageni Mashuhuri, Wanazuoni, na Waandishi ili kuendeleza uzungumzaji na uendelevu wa Lugha hii (Kiswahili) - Bahati Miti
#KBCRadioTaifa ^FN
"Hatupaswi kuruhusu wanasiasa kuwatumia waendesha bodaboda kuchochea vurugu, kuwashambulia wananchi wasio na hatia au kuharibu mali kwa manufaa ya kisiasa - Raymond Omollo
#KBCRadioTaifa ^FN
Blame Game Over Goons, Abductions;
Waiguru blames IPOA over abductions
Matiang'i faults security agencies for failing to tame goons, popularizes his presidential bid in Kirinyaga
Saboti MP says it's Sifuna or never
Naibu Msemaji wa Serikali Mwanaisha Chidzuga, amekutana na Katibu Mkuu wa chama cha UDA kujadili namna ya kuimarisha mawasiliano ya umma, ushirikishwaji wa wananchi na utoaji wa taarifa kwa wakati kuhusu ajenda ya serikali na maendeleo.
#KBCRadioTaifa ^FN
"Mataifa ya Afrika yanapaswa kufanya kila linalowezekana ili kuunda utajiri kwa wananchi wake na kuweka mazingira ya muda mrefu yaliyo thabiti na rafiki kwa uwekezaji - Kithure Kindiki
#KBCRadioTaifa ^FN