βKocha alitupatia plan na hiyo ndio plan imework.β
Gumzo na kocha wa Kenya U23 Anthony Kimani na Captain Kevin Wangaya baada ya ushindi wao wa 2-1 dhidi ya CΓ΄te dβIvoire U23
π₯ FKF
#KituoChaWakenya
Emerging Stars wakisherehekea ushindi wao wa 2-1 dhidi ya Ivory Coast U23 ugani Nyayo π₯π₯π₯.
Stars U23 wataelekea Ivory Coast Jumanne wiki ijayo for the return leg match.
π₯ @Harambee__Stars#KituoChaWakenya
βKuna siku nilikunywa dawa ya mende sikukufa.β
Purity Ngugi narrates how she married her former maths teacher and the heartbreaking child custody battle she is still going through with him.
Full video on Radio Jambo YouTube channel.
#ILIKUAJE#JamboMassawe#KituoChaWakenya
Guess whoβll be on them DECKS this coming Saturday!!! @iamchunkylove π₯π₯π₯
Ukikosa hii ni kama kuhata krisii! ππ₯
Ingia pale @TicketYetu , nunua ticket for just KSh 500 for adults and KSh 200 for kids, and come hang out with the baddest in +254! ππ½ Upo?
#ClassicFitKe
#Patanisho ya leo: Mwanadada agura mahusiano baada ya mpoa wake kushuku kwamba ana relationship na rafiki yake.
Ikiwa ni wewe, akikuomba msamaha utarudi?
#GidiNaGhostAsubuhi#KituoChaWakenya
Who among these candidates would you prefer to take charge of Manchester United after Michael Carrick?
1. Mauricio Pochettino
2. Antonio Conte
3. Julian Nagelsmann
#GidiNaGhostAsubuhi#KituoChaWakenya
One in every three convicts in Kenya is serving time for sexual offences.
Je, unadhani ni kwa nini? Ignorance, kuwekelewa ama kuna mambo mengine?
#GidiNaGhosAsubuhi#KituoChaWakenya
Mabadiliko ya nishati endelevu barani Afrika yanatoa fursa za uwekezaji zenye thamani ya mabilioni ya pesa.
Kuwa kwenye jukwaa ambapo opportunities meet investment.
π« @TicketYetu.
Delegate: KSh 50,000
Student: KSh 5,000 (valid school ID required)
#SEC2026