On this same day in 2018 I received 41k from unknown number I immediately transfered 20k kwa phone ya dem wangu alafu nikabuy phone ya 11k remaining 10k nikawapa my friends ,mzazi akanikol usiku kuuliza kama nilipata iyo school fees alituma kupitia namba ya jirani ๐๐