Nauli kutoka BUZA hadi TEMEKE ni tsh 300 lakini nauli kutoka TEMEKE hadi BUZA ni tsh 400/= Jamaa akamuuliza konda kwanini bei ni tofauti wakati route ni moja? Konda akamjibu kwanini kutoka JUMATATU hadi IJUMAA ni siku 5, lakini kutoka IJUMAA hadi JUMATATU ni siku 3
ππ
Hivi nikifa si tazikwa pekeangu!!?? Ooh Sasa Nafasi ya kumbembeleza mtu naitoa wapi!!? Kutoka leo sijipendekezi Wala Sifanyi ili nimfurahishe fulani mimi nitabaki kuwa Mimi nishajipendekeza vya kutosha Ukikosa ramani ya Maisha kachukue hata ramani ya jezi
#FurahaYanguSoPesa
Ahsante Sana Mungu Wangu kwa wema wako wote kwangu naamini wapo wanaotamani hata kuongea ama Kusikia Kama Mimi lakini hawawezi ππ Umenipa vipaji Kama Kuimba, Utangazaji, Uchekeshaji, Uigizaji, Uchezaji Mpira na hata Ucheshi pia Thanks god for given
#FurahaYanguSoPesa
Usinichukie Mimi Ni masikini ambaye Sina mbele Wala nyuma, najitafutia kiasi Cha kukidhi mahitaji yangu, jamii yangu na familia yangu naomba niwie Radhi mi Bado mdogo Sana
Zawadi Haina Lisiti
#FurahaYanguSoPesa#NoOneKnowAboutTommorow
Najikuta Ni mwenye maumivu makubwa kwa kilichokutokea pole Sana @gracekisaka Allah akuepushe na Adha pia naomba ondoka Kwanza mitandaoni watu wataongea mengi yao en then utaumia zaidi Kisha uchukue maamuzi magum japo sikujui ila nimetokea kukupenda Sana kwa upole na Unyenyekevu
@GRACEKlSAKA @Shetani8 Najikuta Ni mwenye maumivu makubwa kwa kilichokutokea pole Sana @gracekisaka Allah akuepushe na Adha pia naomba ondoka Kwanza mitandaoni watu wataongea mengi yao en then utaumia zaidi Kisha uchukue maamuzi magum japo sikujui ila nimetokea kukupenda Sana kwa upole na Unyenyekevu
Ukipiga hodi Mara Moja usirudie hata Kama wamo epuka kusingiziwa visivyostahili, maisha ni mzunguko epuka ile kauli ya hodi Mara 3 wengine Huwa wanahisi kelele wakiinuka Ni mazima. Mwenye kichwa chepesi kanielewa
#FurahaYanguSoPesa#ZawadiHainaLisiti#HainaKufeli
Oya mabaharia wenzangu ukigundua Kuna mdada unagalagaza moyo wake hakikisha Basi unamtega atoe ile Siri walipewa na Kashetani ππ maana kosa umuombe namba tu ghafla utasikia ata salio Sina hii ndo sms ya mwisho ukimuuliza nikuunge au nitume atajibu tuma ππ
#FurahaYanguSoPesa
Siku hizi dada zetu wanao boyfriend wawili
Waziri wa mambo ya fedha na Waziri wa Mambo ya ndani Kama ikitokea kajipeleka kichwa kichwa mwingine Basi huyo atakuwa Waziri wa mawasiliano na Uchangiaji
#FurahaYanguSoPesa#NiheshimuNikupende#NinaJeuriYaTalent
Inabidi tufikie hatua tuyafurahie matatizo yetu kwa sababu hatuijui kesho yetu kithamini ulichonacho muda huo epuka tamaa wewe Ni jasiri muongoza njia
#FurahaYanguSoPesa
Naaam hii ndo maana halisi ya professional player Mbwana Samatta @Samagoal_77 ipiganie Nchi yetu kaka ππ½ tuko nyuma yako Papi
#MunguNaMasela#Wizo
Urefu wa kisima sio wingi wa maji kwa Sasa wewe Ni mtu mzima unaetazamwa kuja kuwa Mama/baba halisi wa familia yako je umejipangaje?? ama ndo mpaka ifike?? Jitahidi kufocus Akili yako iwaze sana mambo ya mbele Ili ujijengee heshima wewe na familia yako
#FurahaYanguSoPesa#Gmaster
Kuna mchezaji mmoja kazi yake Kona na free-kick tu ππ Yan naiwazia Sana ile Tarehe 81 sijui watatokea wapi yani kwa sababu Huku bwana Ccm namuona yuko Moto Harmonize nae Yuko Moto Kwa kifupi litakufa jitu
N.B mwenye akili kanielewa ninachomaanisha
#FurahaYanguSoPesa