@Mzungu_pori1 Why give a bitch your heart, when she rather have a purse?
Why give a bitch a inch, when she rather have nine?
You know how the game go she be mine, 'bout half time, I'm the shit, ooh
Hii nyomi ya KARATU lazima wakoloni weusi walale wanasonya.
Hiki chama ambacho hakina RUZUKU kinawezaje kufanya yote haya?
Jibu ni jepesi "kushiriki mikutano ya hiki chama ni KUFANYA IBADA YA KWELI"
ASANTENI KARATU KWA KUIHESHIMISHA CHADEMA.
Huu si umati wa kusombwa, huu ni mwitikio wa wananchi waliochoka na ahadi zisizo na matokeo
Karatu imeonyesha kuwa CHADEMA ni chama cha watu sio chama cha mabasi. Wananchi wamejitokeza wenyewe kusikiliza sauti za mabadiliko #FreeLissu
Nimeona jana MATALA kapasua BUYOBE na BUYOBE kaja na screenshot za DM za MATALA kipindi anaomba msaada wa matibabu.
Mimi miaka yangu yote hapa X nimeishi nikisaidiwa na washakaji na kusaidia washkaji wengi sana. Misaada niliyopewa kwangu haiwezi kuwa GEREZA LA MAWAZO yangu.
Siku ukileta UPUMBAVU hata kama ulinisaidia milioni KUMI we jua tuu umeyakanyaga na nitakupasua.
Eti kwasababu unasaidia watu DM ndio usigusike kwamba wewe nani? Hizo DM za kuombwa msaada hutumiwi pekeako. Wewe kama unayo nia ya kusaidia usigeuze misaada yako kuwa GEREZA la kufunga watu.
Huo ndio UKOLONI tunaopambana nao. Hata mm kama nimewahi kukusaidia na unaona nazingua we pasua tuu, mm hata sikumbuki kama nilikusaidia nasahau pale tunapomalizana DM.
MISAADA YENU MNAYOTUPA SIO MAGEREZA—BUYOBE JIHESHIMU.
Hakuna kazi nyepesi🙌
Hapa nimetoka kusaidia wachumaji mboga tuzitume Dar 🥱mgongo wote unauma,ukija matombo ni mwendo wa kazi kazi👊
Kesho ukila figiri ama mchicha huko Dar jua umetoka kwa mantilie🤣🤣
~msiache kupitia kijiweni jmn dada enu nna kikoba
~Sgr station Dodoma
Kila mtu kwenye maisha ashawahi kushikwa mkono na mtu Kwa namna moja ama nyingine! Usitumie msaada wako kumchapia mtu wewe ulizingua na huo ndio ukweli, usitumie makosa ya mtu mwingine kuhalalisha makosa yako
Hakuna kazi nyepesi🙌
Hapa nimetoka kusaidia wachumaji mboga tuzitume Dar 🥱mgongo wote unauma,ukija matombo ni mwendo wa kazi kazi👊
Kesho ukila figiri ama mchicha huko Dar jua umetoka kwa mantilie🤣🤣
~msiache kupitia kijiweni jmn dada enu nna kikoba
~Sgr station Dodoma
Karibun
Kumekucha Mungu ni mwema🙏
Pitia kwa mamntilie tumbo halikai na mnyonge
Sgr Station Dodoma
Opp na 04Pub
~Magimbi,Viazi vitam,mihogo,Ndizi mzuzu,Chapati,vyote vinapatikana
Karibuni sana🙏
📞0687747579
Hii ya kwamba nilikusaidia hivyo nikifanya uhuni ukae Kimya mbona hai make sense in fact hiyo ni blackmail ni tabia ya mfumo.
Simama kwenye ukweli sio mtu akuambie unyamaze unapoona anakosea , kwanza kwa alichofanya ni ishara hana lolote baya dhidi yako ana gaslight
Huna haki zote kukosoa mtu aliyekusaidia huki nyuma pale unapoona makosa