Ni nani anaevujisha taarifa za klabu???
Sifahamu na sielewi nini kimetokea ila nahisi viongozi hawakufanya muamala wa kuwalipa Wydad nafikiri walizungumza kwa mdomo na nafikiri pia Sele hakupewa mkataba asaini na nafikiri pia hakuna pesa iliyoingia kwenye akaunti ya Sele nafikiri upande wa pili waliuliza kama kuna chochote kimefanyika kati ya hivyo wakaambiwa hakuna hivyo wakaaumua kufanya hiyo miamala haraka kuilipa wydad na kumlipa Sele ndo mana wamekuja kambini kwa Simba wakambemba Mwalimu kirahisi tu
Siwezi kumlaumu Sele kwa sababu yeye anafuata maelekezo ya klabu yake na wakala wake
Hao ndio viongozi wetu sie wanasimba na kati yao kuna mmoja anavujisha taarifa za klabu ๐๐ป
JAMANI KAMA JEZI NDO HIZI BASI HIZI SIO JEZI TU BALI MI MTOKO WA KILA SEHEMU,
YAANI POPOTE UNAKWENDA NAYO,
WANASIMBA HUYU JAYRUTY KATUHESHIMISHA MNO KWENYE HII ANGLE YA JEZI, KITU AMBACHO WATANGULIZI WAKE WALIFELI (Sanda+Fredy) ILA HUYU JAMAA JEZI KAIWEZA MNOOOOOOO๐๐๐๐๐๐
Kuna haja ya mabeki wote wa pembeni NBC Premier League kuitisha kikao ya dharura mapema sana๐
Tuliwaamba sajilini mabeki, hao mbeki wenu watatapika damu nawaambia ๐
#NguvuMoja
Tatizo kubwa linalo watafuna ni ule uchawa chawa wenu kwa huyu Rais tapeli usajili wake kwenye madirisha karibia matatu anawachomesha tu kwakuwa alibahatisha dirisha moja akawapumbaza Sasa mpaka mje muamke mtakuwa mmechelewa sana ๐คฃ๐ซต
๐จMkurugenzi wa Betway Tanzania amevutiwa uyu jamaa shabiki wa Simba aliyeenda jana kuitangaza chapa ya BETWAY mbele ya watu 24.1k live, watu zaidi ya M. 50 waliotazama live kupitia AZAM TV, zaidi ya mashabiki wa yanga M 6.
Jamaa alipeleka chapa ya BETWAY mbele ya Yanga ya SPORTS PESA ni ngumu mno kupata fursa kama hizi za kujitangaza kwa mtani wako bureee kabisa.