Meneja wa timu, Patrick Rweyemamu akizungumzia umuhimu wa kambi ya Afrika Kusini na neno la shukrani kwa Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji kwa kuwezesha safari hii. #NguvuMoja
Safari ya kwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya mashindano yaliyopo mbele yetu inaanza.
Shukrani za dhati kwa Rais wa Simba SC, @moodewji kwa kusimamia gharama za safari hii. #NguvuMoja
“Tunamshukuru na kumpongeza Rais wa Simba SC na mwekezaji, Mohammed Dewji (@moodewji) kwa kujitoa kwake kugharamia kambi hii ya siku 10.”- Semaji Ahmed Ally. #NguvuMoja