Taarifa ya mabadiliko kidogo..
Agenda zetu 10 kuanzia sasa zitambulike kama AGENDA 10 ZA MOTO.. Sio Agenda 10 za Julio..
Lengo ni kuongeza morali ya wachezaji wetu kupambana kwenye mechi sita zilizobaki!
Tumepata changamoto ya uvamizi kwenye akaunti zetu za mitandao ya kijamii.
We are under a serious cyber attack. Our experts are getting to the bottom of the crisis.
HEEEE MMEMSIKIA HUKO SEMAJI HANDSOME BOY KULIKO WOTE HUSSEIN MASSANZA ANACHOKISEMA?
Kuelekea kwenye Mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara baina ya Singida Fountain Gate Fc dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa uwanja wa CCM KIRUMBA jijini Mwanza majira ya saa 10:00 jioni
"Tanzania hii hakuna mshabiki wa mpira asiyependa kuiona Singida ikicheza" Maneno ya Msemaji wa Singida Fountain Gate, @massanzajr akitamba ubora wa kikosi hicho na anagusia pia yale yaliyojiri kwenye michuano ya Mapinduzi Cup.
(Imeandikwa na Anoth Paul )
#SingidaFountainGate #HusseinMassanza #AzamTVSportsUpdates
"Mapinduzi Cup ndiyo ilikuwa kipimo chake na sasa rasmi amekuwa kocha mkuu wa timu yetu" Msemaji Mkuu wa Singida Fountain Gate, Hussein Massanza @massanzajr akimtamka rasmi Kocha Thabo Senong kuwa ndiye amepewa mikoba ya kocha mkuu wa kikosi hicho.
(Imeandikwa na Anoth Paul )
#KochaMkuuwaSingidaFountainGate #AzamSportsUpdates