Leo DOMINIKA YA PENTEKOSTE, mwaka C wa Kanisa. Tumefundishwa kuwa Roho Mtakatifu, aliyeahidiwa na Kristo Mfufuka, alishuka juu ya mitume na Kanisa likazaliwa rasmi. Hatujaachwa yatima bali tumejazwa na neema, karama na mwanga wa Roho Mtakatifu ili tushuhudie Injili na kuutangaza upendo wa Mungu katika maisha yetu ya kila siku kama waamini wa Kanisa Katoliki.
@millardayo Catherine Green Tea
Ni majani mazuri sana yenye kazi maalumu kwenye mwili wa binadamu 👇👇
👉Kupunguza Tumbo
👉Kupunguza Mwili
👉Kuondoa Kitambi
👉Kuondoa Gas Tumboni
👉Kuondoa Taka (Impurity) mwili
Bei:30000
Mikoani Tunatuma
Call/whatsapp: 0715466500