@INFLUENCERjr πmaji yakishapunguwa usiumize kichwa kubalance moto kuokoa mdaa chukuwa sufuria kubwa kidogo weka majii then dumbukiza iyo sufuria ya wali bandika... mzigo uive kwa mvuke... kazi inayo baki nikugeuza tu mzigo unatoka og kabisa kama umetumia rice cooker vile.
Kitu ambacho wanaume wengi wanatakiwa wajifunze ni kwamba sio kila mwanamke akiwa na vitu vizuri either nyumba,Gar,(expensive things)mkadhan anahongwa kuna wanawake they work hard for it man.ππhyo ikae akilini.