Protests and running battles rock Runyenjes as bodaboda riders demand justice for their fellow rider named 'Mamba' who was killed by his wife's ex boyfriend
"Haifai tuwe na manaibu wa rais wawili, viongozi wa kanisa waliwaomba waridhiane kabla ya mchakato wa kumbandua Gachagua."- Charles Omanga (Wakili) #UkumbiwaSiasa@l_lizah
Dimba la dunia la Fifa U-17
Dimba la soka la dunia la wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17, linaendelea nchini Dominican Republic na Kenya haijashinda mechi yeyote kati ya 2 ambazo wamecheza, na sasa kibarua cha mwisho kikiwa ni kushindi dhidi ya Mexico ambao pia hawajashinda mechi yeyote kwenye dimba hilo. #TV47News