Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Ramadhani Kingai, ametembelea Banda la Jeshi la Polisi katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) https://t.co/H4Mdx0Vw5w
Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP Kombo Khamis Kombo, ametembelea Banda la Jeshi la Polisi katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), https://t.co/jM1nTPRzfD
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Ruvuma Mrakibu Msaidizi wa Polisi ASP Odiria Mroso akiambatana na Wakaguzi pamoja na askari wa vyeo mbalimbali toka Kikosi cha Kutuliza Ghasia mkoani humo wametoa msaada wa vitu mbalimbali https://t.co/PabBVtM7XD
Mkaguzi wa Polisi (INSP) Saad Mrope kutoka Kamisheni ya Polisi Jamii, Kitengo cha Michezo, leo Julai 4, 2026, ametoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Jeshi la Polisi Tanzania katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), https://t.co/uFqotNJDui
Sajini wa Polisi (SGT) Pascal kutoka Kamisheni ya Operesheni na Mafunzo, Kitengo cha Tehama (ICT), leo Julai 4, 2026, ametoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Jeshi la Polisi Tanzania katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), https://t.co/4ByjRsvQUv
Mkaguzi wa Polisi (INSP) Ezron Magesa kutoka Kamisheni ya Polisi Jamii, leo Julai 4, 2026, ametoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Jeshi la Polisi Tanzania katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), https://t.co/6nvvjO4ihk
Mkaguzi wa Polisi Paines Mwalivundime kutoka Kamisheni ya Fedha na Lojistiki, Kitengo cha Polisi Ufundi, leo Julai 2, 2026, ametoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Jeshi la Polisi Tanzania katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)
https://t.co/LZUP9ADzqb
Konstebo wa Polisi Victor Makene kutoka Kamisheni ya Fedha na Lojistiki, Kitengo cha Polisi Ujenzi, leo Julai 2, 2026 ametoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Jeshi la Polisi Tanzania katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)
https://t.co/T76LF1eJwR
Susan Faith, mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, leo Julai 3, 2026, amelishukuru Jeshi la Polisi Tanzania kwa elimu aliyoipata baada ya kutembelea banda la Jeshi la Polisi katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), https://t.co/lwoiho7SnC
Mkuu wa kitengo cha Polisi Jamii, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Henry Mwibambe, amepokea pikipiki 16 zitakazotumika kwenye Programu ya kudumisha amani Awamu ya Pili unaoungwa mkono na Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
https://t.co/5iUn351zvg
Mwananchi aliyetembelea Banda la Jeshi la Polisi katika Maonesho ya Sabasaba akipata elimu kutoka Mkaguzi wa Polisi Said Said kutoka Kamisheni ya Polisi Zanzibar https://t.co/UchcYneFge
Mrakibu wa Polisi (SP) Neema Laizer kutoka Kamisheni ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kitengo cha Udhibiti na Usimamizi wa Silaha, leo Julai 2, 2026,
https://t.co/G3yhTKBS7E