Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars imefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Dire Dawa kuelekea mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Ethiopia
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars Bakari Shime akizungumzia maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Ethiopia
Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars ikipokewa kwenye mji wa Dira Dawa, Ethiopia kuelekea mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Ethiopia utakaochezwa Oktoba 28, 2025
Mkuu wa msafara wa timu ya Taifa ya Wanawake "Twigastars" Debora Ernest Mkemwa akizungumza baada ya kuwasili Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026