Kwa niaba ya wananchi wa Marekani, tunatoa salamu za rambirambi kwa Rais Samia Suluhu Hassan na familia yake kufuatia kifo cha mumewe, Hafidh Ameir.
Mawazo yetu yako pamoja na familia yake na wapendwa wake katika kipindi hiki kigumu. Apumzike kwa amani.
On behalf of the American people, we extend our deepest condolences to President Samia Suluhu Hassan and her family following the death of her husband Hafidh Ameir.
Our thoughts are with his family and loved ones during this difficult time. May he rest in peace.
7 at 6:Ubalozi wa Marekani utafungwa Septemba 7
kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi (Labor Day), sikukuu ya kitaifa ya Marekani inayotambua mchango na mafanikio ya wafanyakazi wa Marekani.
Ubalozi utafunguliwa tena Septemba 8.
----------------------------------------------------------
The U.S. Embassy will be closed on September 7
in observance of Labor Day, a U.S. federal holiday honoring the contributions and achievements of American workers.
The Embassy will reopen on September 8.
Zaidi ya Kukimbia Pamoja!
Ushirikiano mzuri haujengwi katika kumbi za mikutano.
Unajengwa kupitia mafunzo, kazi ya pamoja na uzoefu wa pamoja. Wataalamu wa kijeshi wa Marekani na Tanzania wameanza mafunzo ya kwanza barani Afrika yaitwayo Psychological Operations Joint Combined Exchange Training, yakileta pamoja wataalamu kutoka nchi zote mbili kujifunza kutoka kwa wenzao na kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu wa kiusalama kati ya Marekani na Tanzania.
Mazoezi hayo ya pamoja yanalenga kuwezesha kila upande kujifunza kutokana na uzoefu wa mwenzake katika kuzuia migogoro, kujenga imani na jamii za kiraia, pamoja na kutekeleza shughuli za uokoaji na kampeni za mawasiliano wakati wa majanga ya asili.
More Than Just a Run!
Good partnerships are rarely built in conference rooms.
They're built through training, teamwork, and shared experiences. U.S. and Tanzanian military professionals kicked off the first Psychological Operations Joint Combined Exchange Training conducted in Africa, bringing together experts from both countries to learn from one another and strengthen our long-standing U.S.-Tanzanian security partnership.
The joint exercise is aimed at each force learning from the experience of the other on conflict prevention, building trust with civilian populations, and conducting rescue operations and communication campaigns during natural disasters.
Together, the United States and Tanzania are partnering to accomplish ambitious goals in malaria prevention.
As part of that effort, in the last four weeks the U.S. provided 3,209,476 insecticide-treated bed nets distributed across Katavi, Mara, and Lindi regions, giving families a proven tool to prevent malaria and stay healthy.
By focusing on high-impact interventions and strengthening Tanzania’s capacity to sustain them, we are building a stronger, more resilient health system that protects people today while strengthening the foundation for a healthier, more self-reliant future.
Together, we can reduce global malaria mortality by 90% by 2030.
Kwa pamoja, Marekani na Tanzania zinashirikiana kufikia malengo makubwa ya kuzuia malaria.
Kama sehemu ya juhudi hizo, katika kipindi cha wiki nne zilizopita, Marekani imetoa vyandarua 3,209,476 vyenye dawa ya kuua mbu, ambavyo vimesambazwa katika mikoa ya Katavi, Mara na Lindi, na hivyo kuzipatia familia njia iliyothibitishwa ya kujikinga na malaria na kulinda afya zao.
Kwa kuzingatia afua zenye matokeo makubwa na kuimarisha uwezo wa Tanzania kuziendeleza kwa ufanisi, tunajenga mfumo wa afya ulio imara zaidi na wenye uwezo wa kukabiliana na changamoto, unaowalinda watu leo huku ukiweka msingi wa maisha yenye afya bora na mustakabali wenye uwezo mkubwa zaidi wa kujitegemea.
Kwa pamoja, tunaweza kupunguza vifo vinavyotokana na malaria duniani kwa asilimia 90 ifikapo mwaka 2030.
American Spaces are the place to engage with U.S. culture and programs.
This month, American Spaces Tanzania will host programs showcasing American excellence through film, improving English language proficiency, building AI literacy, and developing practical skills, including podcast production.
Join us at an American Space near you in Dar es Salaam, Dodoma, Unguja, Pemba, or Mwanza, or take part in our virtual sessions.
Don’t miss out on this opportunity to learn, connect, and build new skills!
What happens when science meets cinema?
At American Corner Unguja, an American Film Showcase screening of Jurassic Park prompted a lively conversation led by Zanzibar-based scientist Daniel Joshua about microbiology, biotechnology, and the ethics of scientific innovation.
Films like Jurassic Park show the power of American storytelling to spark curiosity, expand our sense of what is possible, and inspire the scientists and innovators of tomorrow.
Nini hutokea sayansi inapokutana na sinema?
Katika American Corner Unguja, onyesho la Jurassic Park kupitia American Film Showcase liliibua mazungumzo yenye hamasa, yaliyoongozwa na mwanasayansi anayeishi Zanzibar, Daniel Joshua, kuhusu mikrobiolojia, bioteknolojia, na maadili yanayohusu uvumbuzi wa kisayansi.
Filamu kama Jurassic Park zinaonyesha nguvu ya usimuliaji wa hadithi wa Marekani katika kuchochea udadisi, kupanua mtazamo wetu kuhusu yale yanayowezekana, na kuwahamasisha wanasayansi na wavumbuzi wa kesho.
Je, diplomasia inaweza kupanuaje biashara, kuvutia uwekezaji, na kuunda fursa?
Wiki iliyopita, Ubalozi wa Marekani uliwakaribisha wanafunzi kutoka Kituo cha Mahusiano ya Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim kwa majadiliano yenye hamasa kuhusu diplomasia ya kiuchumi na ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania.
Wanafunzi walijadili jinsi diplomasia inavyoweza kuimarisha mahusiano ya kibiashara na kukuza ustawi wa pamoja kwa nchi zetu mbili.
How can diplomacy expand trade, attract investment, and create opportunity?
Last week, the U.S. Embassy welcomed students from the Dr. Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations for a lively discussion on economic diplomacy and the U.S -Tanzania partnership.
Students explored how diplomacy can strengthen commercial ties and advance shared prosperity for both our countries.
Dolly, we will always love you
January 19, 1946- August 26, 2026.
------------------------------------
Honoring the Memory of Dolly Parton – The White House
https://t.co/ECFs8MoRB7
U.S. embassy employees provide the critical expertise and operational support that allows American diplomacy to function. The U.S. Embassy in Dar es Salaam invites all qualified candidates to apply for the below position:
* Economic Specialist
* Political Specialist
For details on all available positions, required qualifications, and application instructions, please visit: https://t.co/9m8XLK6J8k
Charge Lentz followed his engagement at Data Tamasha with a deep and fruitful conversation with Amani Abeid Karume, Chancellor of Mbeya University of Science and Technology and former President of Zanzibar.
#usembassytz
Kaimu Balozi Lentz aliendeleza ziara yake baada ya ushiriki wake katika Data Tamasha kwa kufanya mazungumzo ya kina na yenye tija na Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya na Rais Mstaafu wa Zanzibar.
#usembasytz