Kwa waliowaona vinicius junior, cristiano na Luis diaz wakati wanafika madrid, man united na Liverpool.
Walikuwa wanafanya vitu vingi unnecessary alafu finishing mbovu, lakini waliaminiwa na kupewa muda.
Sio kwamba usipumzike kabisa.
Hoja ni hii: ukiwa na nguvu za kutafuta, tafuta kwa bidii. Ukifika muda wa kupumzika, usiwe bado unapambana na vita ulivyopaswa kushinda miaka ya nyuma.
Good morning✊️
Kuna kipindi baba alikua akirudi kazini kila mtu nyumbani anaenda chumba chake kulala....kuna siku baba akauliza mbona hampendi kukaa na mimi..nlijiskia vibaya sana...ukifikiria mkuu alikua anarudi saa tano anakula mwenyewe💔
Nimekua mgumu kukubaliana na kuanza kunyoa kipara kwenye huu umri wa miaka 20’s but hapa mbele nywele zangu zinaisha kila siku
Nakila nikikumbuka tangu nizaliwe sijawai muona dingi akiwa na nyweli kichwani ndo nachoka kabisa🥹😁🙌🏿💔
Kuna jamaa yangu alimkopesha demu 20,000/=. Kuna siku jioni demu kampigia simu aende kuchukua hela yake ghetto Keko huko. Mwamba karequest bolt kutoka Ubungo mpaka Keko akijua anaenda kulipwa deni kwa utelezi. Kufika kule kapewa hela yake
Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi .
Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media .
Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani .
Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss .
Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all .
Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA
THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE
" The World is Yours "
GEORGE AMBANGILE 🤝
🚨 Toni Kroos on Cristiano Ronaldo:
“One night after a Champions League game, most of us were happy... we had won comfortably, everyone was laughing in the dressing room.
But Cristiano was silent.
I asked him, ‘What happened?’
He looked at me and said…
‘We scored 3… but I should’ve scored 2 more.’
I thought he was joking… he wasn’t.
The next morning, while others were still recovering, Cristiano was already on the training pitch—watching clips of his missed chances and repeating the same finishing drills again and again.
That’s when I understood… Cristiano wasn’t competing with defenders… he was competing with his own standards.” ⚪🐐Kroos has described Ronaldo’s scoring mentality as a “positive addiction.”