Bodi ya Wakurugenzi ya TRA ikiongozwa na M/Kiti wake Uledi Abbas Mussa na menejimenti ya TRA ikiongozwa na Kamishna Mkuu Bw. Yusuph Mwenda imefanya ziara mkoani Mbeya na kutembelea mpaka wa Kasumulu ambako shughuli za Forodha zinaendelea kama kawaida
👇👇
https://t.co/dLwBWnz8XR
MECHI ZA LIGI KUU KWA KMC
USHINDI - MECHI 2
SARE - MECHI 3
KUFUNGWA - 19
MAGOLI YA KUFUNGA -13
MAGOLI YA KUFUNGWA - 40
HAWA SASA NDIO WAGAWA UTAMU HALISI
#WasafiSports
Baada ya miaka 22, klabu ya Arsenal chini ya Kocha, Mikel Arteta imetwaa Kombe la Ligi Kuu ya EPL katika msimu wa 2025/26.
Mara ya mwisho Arsenal kutwaa ubingwa wa Premier League ilikuwa msimu wa 2003/2004 chini ya kocha nguli Arsène Wenger.
#WasafiSports
Mwanasoka wa zamani, David Beckham ameandika historia mpya baada ya kuongoza orodha ya wanasoka matajiri zaidi duniani kufuatia orodha ya wanasoka matajiri duniani kwa mwaka 2026 iliyotolewa na The Times Rich List.
https://t.co/ey4gI0j3jS
Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Kati ya Azam FC
dhidi ya Yanga Sc, utapigwa jijini Mwanza kwenye uwanja wa Kirumba.
#WasafiSports
Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Kati ya Coastal Union
dhidi ya Simba, utapigwa jijini Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
#WasafiSports
Kocha mwenye uzoefu mkubwa wa Soka duniani, José Mourinho, anatarajiwa kurejea tena kuinoa Real Madrid baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya awali kuhusu mkataba mpya.
Taarifa zinaeleza kuwa Mourinho na Real Madrid tayari… https://t.co/Gi0MrZpq0N
Kiungo wa Atlético Madrid, Antoine Griezmann ameomba msamaha kwa mashabiki wa klabu hiyo kutokana na uamuzi wake wa zamani wa kujiunga na Barcelona, akieleza kuwa alikuwa kijana na hakuelewa thamani ya upendo aliokuwa akipewa na Atlético Madrid.
https://t.co/Aq3IfaNWAs