Aiseee.......kumbe ndiko tulikofika!!! Zitto is this from you my brother ? Haya chochea Moto ! Kwamba kuna watu wanawachukia Wazanzibar isipokuwa wewe! Kwamba kuna watu wadini ,isipokuwa wewe! I'm speechless! Nakumbuka Maneno yako pale hotel ya Golden Tulip, Muda utaamua!
MKOME sasa! Mlijitia kiherehere wakati waliowatuma wakakimbilia nje ya nchi na watoto zao na wake zao! Mwingine maneno mengiiiiii aligalagala getini pale Umoja House utadhani siyo yeye mwenye kauli za kishujaa majukwaani
Yuko wapi mtoto wa Lema, Msigwa,Spika wenu au sultani?
@NyerereYericko Shida ya chadema nyie mnajiona mungu wng ukabili wenu ndio mnaowafikisha hapa zitto ni kiumbe tofauti mnavofikilia sera ya chedema mmeishiwa ndio maana mnaenda kuharibikiwa na chadema yenu
Tumepokea taarifa kutoka Dodoma, kambi ya Magufuli bado ina nguvu sana. Pamoja na kuwaita Gwajima, Silaa na Polepole: Kamati Kuu ya Halimashauri Kuu CCM imeingia hofu sana. Ndugai amekua mkali. CCM imeamua haitawafukuza wanachama hawa bali itawapa onyo na kuangalia mwenendo wao.
@CloudsMediaLive Ivi anamchukulia pouwa sana mzee ulimwengu kweli huyu spika huwa hasomihata comment za watu ili aone namna gani wananchi wanachukia utendajikazi wake