( hardware, bajaj spare parts, airtel, pamoja na kampuni ya kilimo ) pia nimefanya kazi kama customer care. Nina experience kubwa
kama kuna mtu yeyote yupo na nafasi, basi tafadhali naomba ufanyike daraja la kunivusha sehemu moja hadi nyingine
ahsante sana.
@Excess300 1.Inception ( humo ndani utakutana na Tom hard, Leonardo de caprio pamoja na mwamba wa peaky blinders )
2. Mission impossible, last reckoning
3. Fountain of youth
4. Re:born ( k drama )
πΉπΏ πΉπΏ πΉπΏ
Hata kama tumepoteza maelfu ya watanzania wenzetu katika jitihada za kulikomboa taifa letu. Pongezi kubwa iende kwa wote tuliojitoa kuhakikisha tunafanya mabadiliko kwa namna ya kishujaa.
Najua kesho mpya yaja
RIP kwa comrades waliopoteza maisha wakati wa harakatiπ