@Sirajitz1 Mimi na wanangu tulishaapa hakuna kushauriana kwenye swala la mahusiano since mwaka wa1 tunaanza chuo pale morogoroπ , tujifunze kwa maendeleo ya watu
@Vimsafiitz_ Zinaitwa tonsils stones mzee nenda kagoogle, zinaleta harufu mbaya sana mdomoni zikikaa sana zinakuwa ngumu na kuleta madhara tumia mouthwash yenye hydrogen peroxide sukutua usimeze tema, ikiwa hali ya kujirudia watu hufanya upasuaji mdgo