@omwashKE Traditional households mzee hakuwagi na shughuli za kuempower bibi. Borake watoto wasome na atoe mbogi kwa rentals. Mama akijifanya kichwa ngumu anasongeshwa kama pekele ya draft arudi kwao akalime. Hii kujiokotea failed divas kuwatoa soko lazima kiwarambe
Na vijana mjue vile iko sasa,Niliwaambia No one is safe. Kama njuguna a tall, funny,masculine and rich comedian amegongewa na jamaa ya Kutengeneza kucha,sasa wewe wa kuvaa viatu za Addibas unadhani uko safe. Buana no one is safe. Ata uyu plesdent wetu mwizi,the most protected man in kenya,si aligongewa na coach wa sofapaka under 16? sembuse sisi wenye tunatumia kifuli ya Yongli? Sahii ni uombe tu wakati utafika ni kugongewa,usigongewe na nguvu. Na uombe tena ukigongewa usijue.
Buana this women empowerment thing has turned out to be a disaster. Juu sasa mwanamke anagongwa,alafu anakuwekelea. Ati ulikua wapi nikigongwa? Anakwambia you were not there for me. Na saa hiyo alikuambia ameenda kwa auntie yake Nakuru,kumbe ako ako Eldoret jamaa ilimkatia wakati ulienda choo mkiwa huko sol fest last year.
Serikali isipoingilia kati tutaadhirika vibaya sana. Tunaomba rais,as one of the victims of kugongewa,aangalie nivipi hii wanawake yetu itavalishwa ile tunaita Bodycameras. Kama police kule new york. Ndio unamonitor bibi yako. Akienda kugongwa unafinya button anapigwa shock,anarudi mwiki. Woi woi woi! Serkali saidia !