Ushindi unaficha vitu vingi sana, ila personally i think Barcelona inabidi iboreshe eneo lao la golini (Goal Keeping) Inaki Pena anamadhaifu mengi sana ambayo yanafichwa kutokana na ubora wa beki kwa sasa.
2) Handling Pressure, nafikiri wakipata game kubwa kama hizi wataimarika