🚨 CAF imetangaza kanuni kuu kabla ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho msimu wa 2025/26:
📌 Julai 31: Tarehe ya mwisho kwa mashirikisho ya wanachama kuwasilisha vilabu vitakavyoshiriki
📋 Vilabu vinaweza kusajili wachezaji hadi 40
🔁 Substitution 5 kwa kila mechi | Wachezaji 9 benchi
🕒 Wachezaji wapya waliopatikana kwenye dirisha la usajili la Januari lazima wasajiliwe saa 72 kabla ya mechi ili waweze kucheza
🇩🇿🇦🇴🇨🇮🇪����🇱🇾🇲🇦🇳🇬🇨🇩🇿🇦🇸🇩🇹🇳🇹🇿
Nchi 12 zenye nafasi ya kuingiza vilabu viwili kwa kila mashindano:
Aljeria, Angola, Côte d’Ivoire, Misri, Libya, Morocco, Nigeria, DR Congo, Afrika Kusini, Sudan, Tunisia, na Tanzania.
#CAFCLwithMicky | #CAFCCwithMicky #SokaLaAfrika
Account rasmi za timu ya Barcelona zimepost picha hii ya Gavi akiwa mbugani nchini Tanzania. Bado ninaamini kuna namna bora zaidi ya kutumia fursa za ujio wa watu hawa mashuhuri kuitangaza nchi yetu na sekta ya Utalii kwa ujumla.
Baada ya kufanikisha jawabu la changamoto ya maji kwa wananchi 450,000 kwa kuzindua Mradi wa Maji wa Butimba, nilipata wasaa kuzungumza na wananchi katika Uwanja wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kirumba.
Imekuwa jioni nzuri Jijini Mwanza, tukimshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hatua kubwa za maendeleo tunazoendelea kupiga kwa pamoja. Tumezungumza na kukumbushana umuhimu wa ushiriki wa kila mwananchi na makundi yote ya kijamii katika kulinda amani na utulivu wa nchi yetu. Usalama wa nchi yetu ndio msingi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa.