Ni matumaini yangu kwamba jioni yako ni njema na karibu kwenye #GoodEveningKenya nami JK Kamau Munyua upate porojo za kukutuliza na kukupa burudani. Unategegea show ukiwa wapi?
#GoodEveningKenya#RadioNumberOne
@RadioCitizenFM Mamboz @KamaaJk💕Muhayil Saudi Arabia kukumiss nayo..#WCW my mom Banice Rúgú 💞kutoka Mang'u Nakuru na my sons Paul n Andrew na my daughter Knightrose akiwa Turkey nawalombotove sana ❤️❤️❤️❤️
Zoezi hili linaanza siku moja kabla ya mshukiwa mkuu Paul Mackenzie kurejea mahakamani Jumanne ya kesho baada ya mahakama kupeana siku 14 za uchunguzi.
Awali upande wa mashtaka uliitaka mahakama kupeana siku 30 ili maafisa wa DCI waweze kufanya uchunguzi wa kina kutokana na kesi hiyo. #JamboKenya
@RadioCitizenFM @KamaaJK 💕💕 Muhayil Saudi Arabia kama kawa..mimi kwa kweli CBC bado sijaielewa uzuri hainipei stress last born wangu ndio wanamalizia KCPE na sitarajii mtoto soon labda nikifika 60yrs 🤭🤭🤭🤭
This old mother used to give bread to the Gray langurs, also called Hanuman langurs every morning, due to illness, she could not give bread for two days, so the langur himself came to her to know about her condition.
https://t.co/OCNGx08Cpb