@EduTalkTz Mzee wetu anajua kwamba kwa mujibu wa Tanzania’s Foreign Exchange Regulations, G.N. No. 294 of 2022 — wazalendo haturuhusiwi kununua hisa nje ya “Prescribed Territory”?
@EduTalkTz PV ya milioni 18 miaka 25 ijayo, ni sawa na milioni 3.3 (ya leo) kwa mwaka. Yaani Tzs 275k kwa mwezi. NB: hii ni baada ya kutumia discount rate ya 7%.