Kuna watu ni wabinafsi sana🤒💔...
Ile kiroho safi kabisa nimemfata kaka, namwambia mganga kasema nikimtoa yeye, waliobaki familia nzima wataishi safi sana, nikajua atafurahia kuisaidia familia, ye mwenzangu anakataa, sasa kama sio ubinafsi ni nini? bora nisingemshirikisha hana upendo na hii familia🤒.