Moja ya maneno muhimu toka kwenye hotuba ya jana ya Col. Mamady Doumbouya baada ya mapinduzi;
"..ni jukumu la jeshi kuilinda nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje.."
Mtawala anayevunja Katiba na Sheria na kuweka maslahi yake mbele kabla ya wananchi ni adui namba moja wa Taifa.
@UsalamaWaTaifa Umesahau kuongezea kuwa akasitisha na malipo ya team kusifu na kutukuzwa kwasabu yeye sio muhumini wa kusifiwa ndio maana leo watu wanalalama mitandaoni kumkosoa Mhe. Rais
Habari za mida hii wana-Twita.... Baada ya kufanya kazi kwa miezi kadhaa,nmejikusanyia kidogo kiasi hiki kinachoonekana kwenye picha hapa👇.. Mpango nlionao ni wa kuongeza vifaa vya kazi ikiwemo kupata camera kubwa pamoja na softbox na speedlite.... Vyote jumla ni kama milioni👇