“Mhe. @TunduALissu anapiga taratibu huku anakunywa maji.Mahakama imetulia hata ukiingiza mkono mfukoni watu wanakusikia. Majaji wamekuna hadi vichwa baada ya Lissu kumaliza hizo hoja zake za utangulizi.Muda huu sasa anaanza kuzungumza sheria”—@HildaNewton21
Picha-Akili Ige(#AI)
Karia na TFF ni Pro Chawas, kujipendekeza kupeleka mechi za Simba na Yanga visiwani inaonyesha kwamba ni machawa kiasi gani. Sandaland asitegemee kusaidiwa na huyo 'mshirika' kwenye hiyo ishu ya Jezi...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema limesikitishwa na matumizi ya nembo yake kwenye mkutano na waandishi wa habari leo ulioandaliwa na Sandaland Fashion Wear. TFF imeeleza kuwa haikuwa sehemu, wala kujua kabla maudhui ya mkutano huo.
TFF imeionya Sandaland kuacha kutumia nembo yake katika maudhui ambayo hayana uhusiano wa kimkataba. Aidha, imesema itaiandikia barua kupata maelezo ya kina kuhusu matumizi ya nembo katika mkutano huo.
Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli iliyotolewa hadharani na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusu jezi za Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.
Hatua hiyo imetangazwa kupitia tamko rasmi la kampuni hiyo, iliyosema kauli ya Makonda iliyotolewa Septemba 16, 2026 kupitia akaunti yake ya Instagram imeathiri jina, chapa, hadhi na uhalali wa bidhaa za Sandaland katika soko.
Katika ujumbe huo, Makonda alinukuliwa akisema: “Hii sio jezi ya Taifa Stars, Taifa Stars kwa ubora wake hatuwezi kuwa na jezi za kiwango chini hivi. Acheni kutumia picha za Naibu wangu huku ofisi yangu haina taarifa.” Ujumbe huo uliambatana na picha ya Naibu Waziri Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA, akiwa amevalia jezi yenye mchanganyiko wa rangi ya njano, bluu, nyeusi iliyochanganyika na kijani.
Sandaland imesema kauli hiyo imezua taharuki na sintofahamu, huku ikidai kuwa tayari imesababisha madhara ya kiuchumi na kwa hadhi ya kampuni. Kampuni hiyo imeeleza kuwa ina mkataba halali na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wa kutengeneza na kusambaza jezi za Taifa Stars, ambazo zimekwishatumika katika mashindano mbalimbali ya timu za taifa za wanaume na wanawake.
Kutokana na hali hiyo, Sandaland imesema haitanyamaza na inakusudia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli hiyo, ikidai kuwa ilitolewa kwa namna inayoweza kuichafua chapa yake. Kampuni hiyo pia imesisitiza kuwa imejenga jina na heshima yake kwa muda mrefu na ilipewa dhamana kimkataba ya kushughulikia jezi za Taifa Stars.
#KitengeSports
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla amesema kuna changamoto ya wananchi kutopima mitungi ya gesi kwenye mizani wanapoinunua, hali inayowafanya kushindwa kubaini iwapo wamepewa kiasi sahihi cha gesi.
Marli Salmon was the only player with 100% pass accuracy out of all the players that completed the full 90 minutes across all five EFL Cup games last night 💫
Another great defensive option for Arsenal 🔴