Kuna marafiki zetu waliokuwa na umri mdogo kuliko sisi ila tumewazika.
Kuna wale walikuwa wapole kuliko sisi, wenyenyekevu kuliko sisi, waungwana kuliko sisi. Ila wote tumewazika!
Nini tumefanya kustahili uhai huu na afya hii..kipi? Hakuna.
Ni huruma na maamuzi ya Mungu tu.
Mungu akihitaji kukutumia katika nafasi fulani hapa Dunian ANAKUANDAA hivyo MAGUMU unayopitia ni MAANDALIZI ya kuja kuwa CEO wa kampuni, Professional Footballer, Mentor, Business owner, n.kโฆ Usijikatie tamaa changamoto ni sehemu ya Maandalizi ili usije kupuyanga ukifanikisha ๐
Kijana mwenzangu (18-35) Ukiielewa Elimu ya Dini Umeyaelewa Maisha
Hustling, Goals & Success goes with Duas ๐คฒ๐พ and Salah. Otherwise utamtafuta sana Mchawi.
@AbinnurS
Mungu aliyekuepo kipindi napitia wakati mzuri, ndio huyohuyo atakaekeuepo kipindi ntakachopitia wakati mgumu, hii hainifanyi nipoteze Imani yangu kwake.
God is Good All the Time ๐
Tabia yoyote ya Uovu kwa mwanadamu ni tamaa yake mwenyewe na si Jaribio kutoka kwa Mungu, nukuu "Mungu hajaribiwi na uovu na yeye hamjaribu mtu ye yote".
watu wanaokuzunguka wanaweza kuonekana wako mbele yako na wengine wanaweza kuonekana wako nyuma yako kimaisha, lakini kila mtu anakimbia mbio zake kwa wakati wake. Wala usiwaonee wivu. Wapo katika wakati wao, haujachelewa wala kuwahi. Wakati wako utawadia. ๐
Changamoto ( mitihani ) tunazokumbana nazo kila siku ndio MAISHA yenyewe, iishi hyo nyakati unayoipitia kama ni huzuni, huzunika La hasha kama ni Furaha basi Furahi kwamaana Mwenyezi Mungu akitaka kumfanyia mtu Wema humpa mitihani. ๐ง
23/06/2024, Still alive ๐
Kujipongeza kwa kutumia pesa yako uliyoipata baada ya Utaftaji sio Anasa, hiyo ndio Faraja baada ya dhiki uliyoipitia, achana na wapanga matumizi holela ambao hawakuepo wakati Unazisaka. @AbinnurS ๐
Miaka ya sasa nafas ya Mshua kwenye malezi ya mtoto kama inapuuzwa flan hivii. % kubwa ya birthday wishes unakuta mtu anampa bless God na Maza Tu alaf anapita hivi, alaf kidume hikihiki kesho kikiwa Dingi, kitamaind Dogo akimpa bless Maza pekee. #WatGozAround
You've graduate from college or university,
You've no Job, no work, no business and still ignoring the new incoming calls/texts. Uko na safari ndefu sana kijana.
Jitathmini ๐ง
Wakati mke wa tajiri anahaha kushika ujauzito, kuna mke wa masikini ambae amejifungua mapacha, Mungu humpa amtakae bila kujali hali aliyonayo.
Wakati huo kuna msichana mrembo mwenye kila kimvutiacho mwanaume lakini hajaolewa, yuko binty wa kawaida sana aliyeolewa, Ndoa ni neema.
Imefika kipindi watoto wa kiume tumekuwa hazina sana katika kizazi cha sasa ambacho vijana wengi wa kiume hawana tena UANAUME wao kiasi kwamba wazazi wakipelekewa kesi za mimba juu ya kijana wao wanafrah kimoyo-moyo ๐