Simulizi hii inaitwa UKUNGU WA KORDOSO. Ni simulizi yangu mpya kabisa ya kijasusi yenye kusisimua mno.
Nimepanga iwe inaruka hapa X kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Kipande kimoja kimoja.
Ili mnipe nguvu ya kuendelea, tafadhali, ukimaliza kusoma, REPOST uzi huu.
Zikifika REPOSTS 200, nashusha mwendelezo haraka iwezekanavyo.