Usisubiri ukae na kula chakula kwenye dinning table za kisasa sehemu za migahawani tu
Karibu NAHYA STORE tukutengenezee dinning table zenye mvuto
"Hivi unajua kama first date yako ukimuita mchumba mkapika na mkala hapo anaweza kukuona wewe ndio wa ndoto 🤗😋
Call 0710 398 946
@MarekaMalili Ni kama last card, Unapewa random cards amd you are free to play them however you want.
Unaweza kupewa karata nzuri na ukafungwa au karata mbaya na ukashinda.
Jiangalie, karata ulizonazo akili, marafiki, ndugu, ujuzi, n.k Then cheza vizuri
Kila Asubuhi mpya ni ushahidi kwamba Mungu bado hajamalizana na wewe. Shukuru kwa uhai, ombea nguvu, na tembea kwa imani.
Neema ya Mungu ikutangulie leo 🙏🏼
Ndugu zangu, tunaomba msaada wenu 🙏
Mtoto ana tatizo la tundu kwenye moyo na kwa sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya JKCI. Gharama zinazohitajika kwa ajili ya upasuaji ni TSh 7,180,000.
Tunaomba msaada wa chochote ili kuokoa maisha ya mtoto huyu.
Jipatie Kitoweo safi
Kuku wa Kienyeji pure kabisa kutoka Singida
Wapo wa 27,000/= na 35,000/=
Tunakuchinjia na kunyonyoa bure kabisa.
Tunapatikana Kiluvya
Delivery ipo ndani ya DSM kwa gharama nafuu
Call/Whatsapp: 0623 374 863
#kukuwakienyeji
Siwapangii maisha, ila ukiachana na Protein inayotokana na mimea, Hii ndio Protein salama mnoo, kwenye chakula chako cha kila siku, Haswa wazee wa "Age Go"
Uric acid na gout zinakupigi jaramba.
Tutume, tupo tayari kutumika
0762344677
0712867220
Salama Orphanage Center.
Ipo Bunju Sokoni.
Naifahamu,huwa nahihudumia na ina uhitaji.
Namba ya msimamizi hiyo, naweza kukupeleka pia ukitaka kwa ushahidi.
Sisi #BajabirLogistics tunasafirisha mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote Tanzania.
Ofisi zetu zipo 📍Kinondoni Road.
☎️ 0672 808 100 ndio namba ya mawasiliano.