Female friendships are so sh!tty man.
Finding a very genuine female friendships is rare frl.. Waschana wanakuwanga marafiki seasonally and that's why I hate drama or having female friendships. Wacha nishikane na mamorio wangu lakini hio seasonal friendship yako peleka nauko bro
Huyu nikama hakuambia watu wao tumeachana waache kuniita shemeji. Huyu ameniita Shem nkamtumia picha na number ya mtu wa kijana Yao waanze kufamiliarize na yeye ju si hata nyinyi mnaona hii mambo yote ni kasongo ameleta... Bishia jirani umwambie wantam plezdent.