Agricultural company deals with:Irrigation System Installation/ Designing & Construction of GreenHouses/Fish pond & Dam lining by using HDPE GEOMEMBRANE LINER.
NDALIBO - DODOMA
Ili kufanya kilimo chenye tija na mafanikio kwako wewe mkulima ni lazima uwe na chanzo cha uhakika cha maji.
Karibu AGRIPROFESSIONAL COMPANY LIMITED ufanye kazi na sisi.
Shamba hili lipo Mkoa wa Dodoma kijjji cha Ndalibo likiwa limefungwa mifumo imara na
Leo ni siku ya tano kwenye maonyesho ya kilimo hapa Njiro, Arusha.
Karibu tena kesho kwenye banda la AgriProfessional Company Limited kwenye viwanja wa nane nane Njiro, Arusha tujifunze kwa pamoja mbinu na njia bora za kilimo cha kisasa.
https://t.co/8GzldeDkLm
Kampuni sahihi kwako wewe mkulima ni AGRIPROFESSIONAL COMPANY LIMITED.
Tupo tayari kukuhudumia popote pale ulipo.
Wasiliana nasi leo
[email protected]
https://t.co/8GzldeDkLm
0654357571
0695537571
0756457421
#WE_ARE_OF_PROFESSIONAL_GRADE
thamani shamba lako kwa kulifungiaa mifumo ya kisasa ya umwagiliaji huku tukitumia vifaa bora na imara vyenye kudumu na kukupa matokeo bora zaidi shambani kwako.
Popote pale ulipo huduma zetu zinakufikia kwa wakati na haraka.
Wasiliana nasi leo
[email protected]
BUTTON DRIPPER IRRIGATION SYSTEM
Una shamba lako la parachichi, embe, chungwa, migomba, papai, zabibu, pasheni na mazao yote jamii ya miti?
Na unajiuliza ni wapi unaweza kupata wataalamu wenye uzoefu kwenye umwagiliaji?
Basi
Agriprofessional Company Limited tupo hapa kulipa
Ili kufanya kilimo biashara, kilimo chenye tija jambo la msingi sanaaa wewe mkulima kuzingatia kwanza ni uhakika wa maji kwa msimu wote.
Ukiwa na chanzo cha uhakika cha maji sisi AGRIPROFESSIONAL COMPANY LIMITED tunakusaidia kupeleka maji kwenye kila mmea wako shambani kwa
Dodoma
Kwa mara nyingine team yetu ya AGRIPROFESSIONAL COMPANY LIMITED inakujaa kwa ajili ya ufungaji wa mfumo wa umwagiliaji kwenye mashamba ya zabibu.
Wasiliana nasi tukufanyie kilicho bora zaidi kwani tunatumia vifaa imara na bora vyenye kukupaa matokeo mazuri.
Unahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha ndani(greenhouse/s)?
Karibu AGRIPROFESSIONAL COMPANY LIMITED tukuhudumie tuna team ya wataalamu wenye utaalamu na uzoefu wa muda mrefu.
Tuambie leo unahitaji greenhouse yenye ukubwa gani tukutumie mchanganuo wa gharama.
TRELLISING TWINE
Hizi ni kamba maalumu kwa ajili ya kufungia mazao yako shambani
Sifa kubwa ya kamba hizi ni ngumu na imara siyo rahisi kuathiriwaa na jua au mvua.
Karibu ofisini kwetu ujipatie kamba hizi zenye urefu wa mita 2500 na 5000 kwa bei nafuu.
Wasiliana nasi leo
Kampuni pekee yenye kukufanyia kilicho bora zaidi ni Agriprofessional Company Limited tuna utaalamu na uzoefu wa muda mrefu.
Wasiliana nasi leo
[email protected]
https://t.co/8GzldeDkLm
0654357571
0695537571
0756457421
#WE_ARE_OF_PROFESSIONAL_GRADE
Ongeza kipato chako na AGRIPROFESSIONAL COMPANY LIMITED kwenye ufugaji wa samaki.
Karibu tukutengeneze portable fish pond, mabwawa ambayo ni rahisi kuhamishika na lina kupa nafasi ya kuliweka popote pale kulinganaa na ukubwa wake.
Wasiliana nasi leo tukuhudumie
3M BY 6M NURSERY CONSTRUCTION
FOUR WAY FOGGERS SYSTEM INSTALLATION
Wasiliana nasi leo
0654357571
0695537571
0756457421
[email protected]
https://t.co/8GzldeDkLm
#WE_ARE_OF_PROFESSIONAL_GRADE
kampuni pekee yenye kukufanyia kilicho bora zaidi ni Agriprofessional Company Limited
Wasiliana nasi leo
Kwa mifumo imara na yenye kukidhi mahitaji ya umwagiliaji shambani
Vitalu nyuma(Greenhouses-Dome & Ventilated structure)
Mabwawa ya kuhifadhia maji
Mabwawa ya kufugia samaki