Call for Applications, NM-AIST invites qualified nationals from ๐ง๐ฎ๐จ๐ฉ๐ฐ๐ช๐ท๐ผ๐ธ๐ธ๐น๐ฟ๐บ๐ฌ to apply for the 6th Cohort MSc EMoS programme of the @EaCenit.
The temporary genomics laboratory was set up by our team in a seminar room in less than 1h! We are teaching 15 African countries how to do DNA sequencing with minimal resources in the field. It will be a fun and exciting journey in the next 2 weeks with @AfricaCDC@ASLM_News
Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Mhandisi Dkt. Richard Joseph Masika leo ametembelea banda la maonesho katika kilelele cha mashindano ya MAKISATU yaliyoanza jana jijini Dodoma
Nimesikitishwa na kifo cha Mzee wetu Benjamin Mkapa (Rais Mstaafu wa Awamu ya 3). Nitamkumbuka kwa mapenzi yake makubwa kwa Taifa, ucha Mungu, uchapakazi na utendaji wake katika kujenga uchumi. Hakika Taifa limepoteza nguzo imara. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akisikiliza maelezo ya ubunifu wa mashine ya kupumulia (ventilator mashine) iliyotengenezwa na wanafunzi wa DIT. Wanafunzi Innocent Douglas na Aiche Rogers mwaka wa kwanza Diploma Biomedical engineering wakitoa maelezo.
A robotic culture system for the high-throughput analysis of drug transport in porcine gastrointestinal tissue explants accurately predicts the absorption of orally taken drugs in the human gut.
https://t.co/1vUGWZBZDz [N&V]
https://t.co/qSzUyKNFMv [Paper]