France has officially entered the chat! 🇹🇿🇫🇷
President Samia receives France’s Ambassador designate, Jean-Baptiste Jeangene Vilmer, at State House.
In diplomacy, even the handshake comes with paperwork, protocol and international relations!
Bienvenue en Tanzanie!
Uongozi ni zaidi ya dhamana; ni upendo, ukaribu na kujenga mahusiano mema na wananchi. ❤️🇹🇿
Mhe. Deogratius Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akifurahia pamoja na wananchi kutoka makundi mbalimbali. Huu ndio uongozi unaogusa mioyo ya...
Moja kati ya watu wanaonishangaza sana ndani ya CHADEMA ni huyu Nabii wa mchongo. Hata sielewi ilikuwaje mpaka akaingia kwenye siasa, maana hoja kwake ni shida, yeye ni mropokaji tu. Anyway, hizo mboyoyo zako anza kumtandika Sugu, maana...
@SuluhuSamia ndiye Rais wa Watanzania zaidi ya milioni 60, wanaoishi katika nchi yenye ukubwa wa km² 947,303. Hisia binafsi hazibadilishi ukweli, chuki haibadilishi Katiba, na kelele hazibadilishi uhalisia. Ukipenda au usipende, Rais wa Tanzania ni Dkt. Samia 🇹🇿🔥
UNITY AS THE FOUNDATION OF PROGRESS
Mwalimu Nyerere placed national unity at the heart of Tanzania’s identity. As President Samia Suluhu Hassan advances today’s development agenda, preserving social cohesion and widening economic opportunity remain important subjects in...